Warumi 16:8
Romans 16:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Msalimuni Ampliato, yeye nimpendaye katika Bwana.
Romans 16:8 in English
Romans 16:8 · Berean Standard Bible
Greet Ampliatus, my beloved in the Lord.
Context
6Msalimuni Maria, aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu. 7Wasalimuni Androniko na Yunia, jamaa zangu ambao wamekuwa gerezani pamoja nami. Wao ni maarufu miongoni mwa mitume, nao walikuwa katika Kristo kabla yangu. 8Msalimuni Ampliato, yeye nimpendaye katika Bwana. 9Msalimuni Urbano, mtendakazi mwenzetu katika Kristo, pamoja na rafiki yangu mpendwa Stakisi. 10Msalimuni Apele aliyejaribiwa na akaithibitisha imani yake katika Kristo.
Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Aristobulo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.