Native Bible

Romans 16:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msalimuni Maria, aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu.

Romans 16:6 in English

Romans 16:6 · Berean Standard Bible

Greet Mary, who has worked very hard for you.

Context

4Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu; wala si mimi tu ninayewashukuru bali pia makanisa yote ya watu wa Mataifa. 5Lisalimuni pia kanisa linalokutana nyumbani mwao. Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Kristo huko Asia. 6Msalimuni Maria, aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu. 7Wasalimuni Androniko na Yunia, jamaa zangu ambao wamekuwa gerezani pamoja nami. Wao ni maarufu miongoni mwa mitume, nao walikuwa katika Kristo kabla yangu. 8Msalimuni Ampliato, yeye nimpendaye katika Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.