Native Bible

Romans 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Bwana, ataokolewa.”

Romans 10:13 in English

Romans 10:13 · Berean Standard Bible

for, “Everyone who calls on the name of the Lord will be saved.”*

Context

11Kama yasemavyo Maandiko, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.” 12Kwa maana hakuna tofauti kati ya Myahudi na Myunani, yeye ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao. 13Kwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Bwana, ataokolewa.” 14Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria? 15Nao watahubirije wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, “Tazama jinsi ilivyo mizuri miguu yao wale wanaohubiri habari njema!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.