Native Bible

Romans 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama yasemavyo Maandiko, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.”

Romans 10:11 in English

Romans 10:11 · Berean Standard Bible

It is just as the Scripture says: “Anyone who believes in Him will never be put to shame.”*

Context

9Kwa sababu kama ukikiri kwa kinywa chako kwamba “Yesu ni Bwana,” na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka. 10Kwa maana kwa moyo mtu huamini na hivyo kuhesabiwa haki, tena kwa kinywa mtu hukiri na hivyo kupata wokovu. 11Kama yasemavyo Maandiko, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.” 12Kwa maana hakuna tofauti kati ya Myahudi na Myunani, yeye ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao. 13Kwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Bwana, ataokolewa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.