Native Bible

Romans 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima.

Romans 1:14 in English

Romans 1:14 · Berean Standard Bible

I am obligated both to Greeks and non-Greeks,* both to the wise and the foolish.

Context

12au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi. 13Ndugu zangu, napenda mfahamu kwamba mara nyingi nimekusudia kuja kwenu (ingawa mpaka sasa nimezuiliwa), ili nipate kuvuna mavuno miongoni mwenu kama nilivyovuna miongoni mwa wengine ambao ni watu wa Mataifa wasiomjua Mungu. 14Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima. 15Ndiyo sababu ninatamani sana kuihubiri Injili kwenu pia ninyi mlioko Rumi. 16Mimi siionei haya Injili ya Kristo kwa maana ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiye, kwanza kwa Myahudi na kwa Myunani pia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.