Native Bible

Romans 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi.

Romans 1:12 in English

Romans 1:12 · Berean Standard Bible

that is, that you and I may be mutually encouraged by each other’s faith.

Context

10katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu. 11Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara, 12au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi. 13Ndugu zangu, napenda mfahamu kwamba mara nyingi nimekusudia kuja kwenu (ingawa mpaka sasa nimezuiliwa), ili nipate kuvuna mavuno miongoni mwenu kama nilivyovuna miongoni mwa wengine ambao ni watu wa Mataifa wasiomjua Mungu. 14Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.