Native Bible

Romans 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu.

Romans 1:10 in English

Romans 1:10 · Berean Standard Bible

in my prayers at all times, asking that now at last by God’s will I may succeed in coming to you.

Context

8Kwanza kabisa, namshukuru Mungu wangu kwa njia ya Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inatangazwa duniani kote. 9Kwa maana Mungu ninayemtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Injili ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka 10katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu. 11Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara, 12au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.