Native Bible

Psalms 99:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, wetu, ndiwe uliyewajibu, kwa Israeli ulikuwa Mungu mwenye kusamehe, ingawa uliadhibu matendo yao mabaya.

Psalms 99:8 in English

Psalms 99:8 · Berean Standard Bible

O LORD our God, You answered them. You were a forgiving God to them, yet an avenger of their misdeeds.

Context

6Mose na Aroni walikuwa miongoni mwa makuhani wake, Samweli alikuwa miongoni mwa walioliitia jina lake; walimwita Bwana, naye aliwajibu. 7Alizungumza nao kutoka nguzo ya wingu; walizishika sheria zake na amri alizowapa. 8Ee Bwana, wetu, ndiwe uliyewajibu, kwa Israeli ulikuwa Mungu mwenye kusamehe, ingawa uliadhibu matendo yao mabaya. 9Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana Bwana Mungu wetu ni mtakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.