Native Bible

Psalms 99:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana Bwana Mungu wetu ni mtakatifu.

Psalms 99:9 in English

Psalms 99:9 · Berean Standard Bible

Exalt the LORD our God and worship at His holy mountain, for the LORD our God is holy.

Context

7Alizungumza nao kutoka nguzo ya wingu; walizishika sheria zake na amri alizowapa. 8Ee Bwana, wetu, ndiwe uliyewajibu, kwa Israeli ulikuwa Mungu mwenye kusamehe, ingawa uliadhibu matendo yao mabaya. 9Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana Bwana Mungu wetu ni mtakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.