Native Bible

Psalms 89:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, mbingu zinayasifu maajabu yako, uaminifu wako pia katika kusanyiko la watakatifu.

Psalms 89:5 in English

Psalms 89:5 · Berean Standard Bible

The heavens praise Your wonders, O LORD— Your faithfulness as well— in the assembly of the holy ones.

Context

3Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu, nimemwapia mtumishi wangu Daudi, 4‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ” 5Ee Bwana, mbingu zinayasifu maajabu yako, uaminifu wako pia katika kusanyiko la watakatifu. 6Kwa kuwa ni nani katika mbingu anayeweza kulinganishwa na Bwana? Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni aliye kama Bwana? 7Katika kusanyiko la watakatifu, Mungu huogopwa sana, anahofiwa kuliko wote wanaomzunguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.