Zaburi 89:3
Psalms 89:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu, nimemwapia mtumishi wangu Daudi,
Psalms 89:3 in English
Psalms 89:3 · Berean Standard Bible
You said, “I have made a covenant with My chosen one, I have sworn to David My servant:
Context
1Nitaimba juu ya upendo mkuu wa Bwana milele;
kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako
ujulikane kwa vizazi vyote. 2Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele
na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni. 3Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu,
nimemwapia mtumishi wangu Daudi, 4‘Nitaimarisha uzao wako milele
na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ” 5Ee Bwana, mbingu zinayasifu maajabu yako,
uaminifu wako pia katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.