Native Bible

Psalms 89:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitaimba juu ya upendo mkuu wa Bwana milele; kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako ujulikane kwa vizazi vyote.

Psalms 89:1 in English

Psalms 89:1 · Berean Standard Bible

I will sing of the loving devotion of the LORD forever; with my mouth I will proclaim Your faithfulness to all generations.

Context

1Nitaimba juu ya upendo mkuu wa Bwana milele; kwa kinywa changu nitajulisha uaminifu wako ujulikane kwa vizazi vyote. 2Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni. 3Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu, nimemwapia mtumishi wangu Daudi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.