Native Bible

Psalms 85:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uaminifu huchipua kutoka nchi, haki hutazama chini kutoka mbinguni.

Psalms 85:11 in English

Psalms 85:11 · Berean Standard Bible

Faithfulness sprouts from the earth, and righteousness looks down from heaven.

Context

9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, ili utukufu wake udumu katika nchi yetu. 10Upendo na uaminifu hukutana pamoja, haki na amani hubusiana. 11Uaminifu huchipua kutoka nchi, haki hutazama chini kutoka mbinguni. 12Naam, hakika Bwana atatoa kilicho chema, nayo nchi yetu itazaa mavuno yake. 13Haki itatangulia mbele yake na kutengeneza njia kwa ajili ya hatua zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.