Zaburi 85:10
Psalms 85:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Upendo na uaminifu hukutana pamoja, haki na amani hubusiana.
Psalms 85:10 in English
Psalms 85:10 · Berean Standard Bible
Loving devotion and faithfulness have joined together; righteousness and peace have kissed.
Context
8Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye Bwana;
anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake:
lakini nao wasirudie upumbavu. 9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao,
ili utukufu wake udumu katika nchi yetu. 10Upendo na uaminifu hukutana pamoja,
haki na amani hubusiana. 11Uaminifu huchipua kutoka nchi,
haki hutazama chini kutoka mbinguni. 12Naam, hakika Bwana atatoa kilicho chema,
nayo nchi yetu itazaa mavuno yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.