Zaburi 85:8
Psalms 85:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye Bwana; anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake: lakini nao wasirudie upumbavu.
Psalms 85:8 in English
Psalms 85:8 · Berean Standard Bible
I will listen to what God the LORD will say; for He will surely speak peace to His people and His saints; He will not let them return to folly.
Context
6Je, hutatuhuisha tena,
ili watu wako wakufurahie? 7Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee Bwana,
utupe wokovu wako. 8Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye Bwana;
anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake:
lakini nao wasirudie upumbavu. 9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao,
ili utukufu wake udumu katika nchi yetu. 10Upendo na uaminifu hukutana pamoja,
haki na amani hubusiana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.