Native Bible

Psalms 85:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee Bwana, utupe wokovu wako.

Psalms 85:7 in English

Psalms 85:7 · Berean Standard Bible

Show us Your loving devotion, O LORD, and grant us Your salvation.

Context

5Je, utatukasirikia milele? Utaendeleza hasira yako kwa vizazi vyote? 6Je, hutatuhuisha tena, ili watu wako wakufurahie? 7Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee Bwana, utupe wokovu wako. 8Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye Bwana; anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake: lakini nao wasirudie upumbavu. 9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, ili utukufu wake udumu katika nchi yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.