Zaburi 81:4
Psalms 81:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hii ni amri kwa Israeli, agizo la Mungu wa Yakobo.
Psalms 81:4 in English
Psalms 81:4 · Berean Standard Bible
For this is a statute for Israel, an ordinance of the God of Jacob.
Context
2Anzeni wimbo, pigeni matari,
pigeni kinubi na zeze kwa sauti nzuri. 3Pigeni baragumu za pembe za kondoo dume
wakati wa Mwandamo wa Mwezi,
na wakati wa mwezi mpevu,
katika siku ya Sikukuu yetu; 4hii ni amri kwa Israeli,
agizo la Mungu wa Yakobo. 5Aliiweka iwe kama sheria kwa Yosefu
alipotoka dhidi ya Misri,
huko tulikosikia lugha ambayo hatukuielewa. 6Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao;
mikono yao iliwekwa huru kutoka kwenye kikapu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.