Zaburi 81:6
Psalms 81:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao; mikono yao iliwekwa huru kutoka kwenye kikapu.
Psalms 81:6 in English
Psalms 81:6 · Berean Standard Bible
“I relieved his shoulder of the burden; his hands were freed from the basket.
Context
4hii ni amri kwa Israeli,
agizo la Mungu wa Yakobo. 5Aliiweka iwe kama sheria kwa Yosefu
alipotoka dhidi ya Misri,
huko tulikosikia lugha ambayo hatukuielewa. 6Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao;
mikono yao iliwekwa huru kutoka kwenye kikapu. 7Katika shida yako uliniita nami nikakuokoa,
nilikujibu katika mawingu yenye ngurumo;
nilikujaribu katika maji ya Meriba. 8“Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya:
laiti kama mngenisikiliza, ee Israeli!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.