Native Bible

Psalms 81:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anzeni wimbo, pigeni matari, pigeni kinubi na zeze kwa sauti nzuri.

Psalms 81:2 in English

Psalms 81:2 · Berean Standard Bible

Lift up a song, strike the tambourine, play the sweet-sounding harp and lyre.

Context

1Mwimbieni kwa furaha, Mungu aliye nguvu yetu; mpigieni kelele za shangwe Mungu wa Yakobo! 2Anzeni wimbo, pigeni matari, pigeni kinubi na zeze kwa sauti nzuri. 3Pigeni baragumu za pembe za kondoo dume wakati wa Mwandamo wa Mwezi, na wakati wa mwezi mpevu, katika siku ya Sikukuu yetu; 4hii ni amri kwa Israeli, agizo la Mungu wa Yakobo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.