Native Bible

Psalms 80:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto, unapowakemea, watu wako huangamia.

Psalms 80:16 in English

Psalms 80:16 · Berean Standard Bible

Your vine has been cut down and burned; they perish at the rebuke of Your countenance.

Context

14Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote! Tazama chini kutoka mbinguni na uone! Linda mzabibu huu, 15mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, mwana uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe. 16Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto, unapowakemea, watu wako huangamia. 17Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe. 18Ndipo hatutakuacha tena, utuhuishe, nasi tutaliitia jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.