Zaburi 80:15
Psalms 80:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, mwana uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Psalms 80:15 in English
Psalms 80:15 · Berean Standard Bible
the root Your right hand has planted, the son You have raised up for Yourself.
Context
13Nguruwe mwitu wanauharibu
na wanyama wa kondeni hujilisha humo. 14Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote!
Tazama chini kutoka mbinguni na uone!
Linda mzabibu huu, 15mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume,
mwana uliyemlea
kwa ajili yako mwenyewe. 16Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto,
unapowakemea, watu wako huangamia. 17Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume,
mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.