Native Bible

Psalms 78:72 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo, kwa mikono ya ustadi aliwaongoza.

Psalms 78:72 in English

Psalms 78:72 · Berean Standard Bible

So David shepherded them with integrity of heart and guided them with skillful hands.

Context

70Akamchagua Daudi mtumishi wake na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo. 71Kutoka kuchunga kondoo alimleta kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, wa Israeli urithi wake. 72Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo, kwa mikono ya ustadi aliwaongoza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.