Native Bible

Psalms 78:71 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka kuchunga kondoo alimleta kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, wa Israeli urithi wake.

Psalms 78:71 in English

Psalms 78:71 · Berean Standard Bible

from tending the ewes He brought him to be shepherd of His people Jacob, of Israel His inheritance.

Context

69Alijenga patakatifu pake kama vilele, kama dunia ambayo aliimarisha milele. 70Akamchagua Daudi mtumishi wake na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo. 71Kutoka kuchunga kondoo alimleta kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, wa Israeli urithi wake. 72Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo, kwa mikono ya ustadi aliwaongoza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.