Zaburi 78:70
Psalms 78:70 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamchagua Daudi mtumishi wake na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.
Psalms 78:70 in English
Psalms 78:70 · Berean Standard Bible
He chose David His servant and took him from the sheepfolds;
Context
68lakini alilichagua kabila la Yuda,
Mlima Sayuni, ambao aliupenda. 69Alijenga patakatifu pake kama vilele,
kama dunia ambayo aliimarisha milele. 70Akamchagua Daudi mtumishi wake
na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo. 71Kutoka kuchunga kondoo alimleta
kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo,
wa Israeli urithi wake. 72Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo,
kwa mikono ya ustadi aliwaongoza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.