Native Bible

Psalms 77:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nilitafakari juu ya siku zilizopita, miaka mingi iliyopita,

Psalms 77:5 in English

Psalms 77:5 · Berean Standard Bible

I considered the days of old, the years long in the past.

Context

3Ee Mungu, nilikukumbuka wewe, nikalia kwa huzuni; nikatafakari, roho yangu ikadhoofika. 4Ulizuia macho yangu kufumba; nilikuwa nasumbuka, nikashindwa kusema. 5Nilitafakari juu ya siku zilizopita, miaka mingi iliyopita, 6nilikumbuka nilivyoimba nyimbo usiku. Moyo wangu ulitafakari na roho yangu ikauliza: 7“Je, Bwana atakataa milele? Je, hatatenda mema tena?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.