Native Bible

Psalms 77:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ulizuia macho yangu kufumba; nilikuwa nasumbuka, nikashindwa kusema.

Psalms 77:4 in English

Psalms 77:4 · Berean Standard Bible

You have kept my eyes from closing; I am too troubled to speak.

Context

2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 3Ee Mungu, nilikukumbuka wewe, nikalia kwa huzuni; nikatafakari, roho yangu ikadhoofika. 4Ulizuia macho yangu kufumba; nilikuwa nasumbuka, nikashindwa kusema. 5Nilitafakari juu ya siku zilizopita, miaka mingi iliyopita, 6nilikumbuka nilivyoimba nyimbo usiku. Moyo wangu ulitafakari na roho yangu ikauliza:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.