Zaburi 77:3
Psalms 77:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, nilikukumbuka wewe, nikalia kwa huzuni; nikatafakari, roho yangu ikadhoofika.
Psalms 77:3 in English
Psalms 77:3 · Berean Standard Bible
I remembered You, O God, and I groaned; I mused and my spirit grew faint. Selah
Context
1Nilimlilia Mungu ili anisaidie,
nilimlilia Mungu ili anisikie. 2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana,
usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka
na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 3Ee Mungu, nilikukumbuka wewe, nikalia kwa huzuni;
nikatafakari, roho yangu ikadhoofika. 4Ulizuia macho yangu kufumba;
nilikuwa nasumbuka, nikashindwa kusema. 5Nilitafakari juu ya siku zilizopita,
miaka mingi iliyopita,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.