Zaburi 76:8
Psalms 76:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka mbinguni ulitamka hukumu, nayo nchi ikaogopa, ikawa kimya:
Psalms 76:8 in English
Psalms 76:8 · Berean Standard Bible
From heaven You pronounced judgment, and the earth feared and was still
Context
6Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo,
farasi na gari la vita vilikaa kimya. 7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa.
Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 8Kutoka mbinguni ulitamka hukumu,
nayo nchi ikaogopa, ikawa kimya: 9wakati wewe, Ee Mungu, ulipoinuka kuhukumu,
kuwaokoa wote walioonewa katika nchi. 10Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa,
na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.