Native Bible

Psalms 76:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi.

Psalms 76:10 in English

Psalms 76:10 · Berean Standard Bible

Even the wrath of man shall praise You; with the survivors of wrath You will clothe Yourself.*

Context

8Kutoka mbinguni ulitamka hukumu, nayo nchi ikaogopa, ikawa kimya: 9wakati wewe, Ee Mungu, ulipoinuka kuhukumu, kuwaokoa wote walioonewa katika nchi. 10Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi. 11Wekeni nadhiri kwa Bwana Mungu wenu na kuzitimiza; nchi zote za jirani na walete zawadi kwa Yule astahiliye kuogopwa. 12Huvunja roho za watawala; anaogopwa na wafalme wa dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.