Native Bible

Psalms 76:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huvunja roho za watawala; anaogopwa na wafalme wa dunia.

Psalms 76:12 in English

Psalms 76:12 · Berean Standard Bible

He breaks the spirits of princes; He is feared by the kings of the earth.

Context

10Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi. 11Wekeni nadhiri kwa Bwana Mungu wenu na kuzitimiza; nchi zote za jirani na walete zawadi kwa Yule astahiliye kuogopwa. 12Huvunja roho za watawala; anaogopwa na wafalme wa dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.