Native Bible

Psalms 76:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika?

Psalms 76:7 in English

Psalms 76:7 · Berean Standard Bible

You alone are to be feared. When You are angry, who can stand before You?

Context

5Mashujaa hulala wametekwa nyara, hulala usingizi wao wa mwisho; hakuna hata mmoja wa watu wa vita anayeweza kuinua mikono yake. 6Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, farasi na gari la vita vilikaa kimya. 7Wewe peke yako ndiye wa kuogopwa. Ni nani awezaye kusimama mbele yako unapokasirika? 8Kutoka mbinguni ulitamka hukumu, nayo nchi ikaogopa, ikawa kimya: 9wakati wewe, Ee Mungu, ulipoinuka kuhukumu, kuwaokoa wote walioonewa katika nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.