Native Bible

Psalms 76:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huko alivunja mishale imetametayo, ngao na panga, silaha za vita.

Psalms 76:3 in English

Psalms 76:3 · Berean Standard Bible

There He shattered the flaming arrows, the shield and sword and weapons of war. Selah

Context

1Katika Yuda, Mungu anajulikana, jina lake ni kuu katika Israeli. 2Hema lake liko Salemu, makao yake katika Sayuni. 3Huko alivunja mishale imetametayo, ngao na panga, silaha za vita. 4Wewe unangʼaa kwa mwanga, mwenye fahari zaidi ya milima yenye utajiri wa wanyama pori. 5Mashujaa hulala wametekwa nyara, hulala usingizi wao wa mwisho; hakuna hata mmoja wa watu wa vita anayeweza kuinua mikono yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.