Native Bible

Psalms 76:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika Yuda, Mungu anajulikana, jina lake ni kuu katika Israeli.

Psalms 76:1 in English

Psalms 76:1 · Berean Standard Bible

God is known in Judah; His name is great in Israel.

Context

1Katika Yuda, Mungu anajulikana, jina lake ni kuu katika Israeli. 2Hema lake liko Salemu, makao yake katika Sayuni. 3Huko alivunja mishale imetametayo, ngao na panga, silaha za vita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.