Zaburi 76:4
Psalms 76:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wewe unangʼaa kwa mwanga, mwenye fahari zaidi ya milima yenye utajiri wa wanyama pori.
Psalms 76:4 in English
Psalms 76:4 · Berean Standard Bible
You are resplendent with light, more majestic than mountains filled with game.
Context
2Hema lake liko Salemu,
makao yake katika Sayuni. 3Huko alivunja mishale imetametayo,
ngao na panga, silaha za vita. 4Wewe unangʼaa kwa mwanga,
mwenye fahari zaidi ya milima yenye utajiri wa wanyama pori. 5Mashujaa hulala wametekwa nyara,
hulala usingizi wao wa mwisho;
hakuna hata mmoja wa watu wa vita
anayeweza kuinua mikono yake. 6Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo,
farasi na gari la vita vilikaa kimya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.