Native Bible

Psalms 75:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati dunia na watu wake wote inapotetemeka, ni mimi ninayezishikilia nguzo zake imara.

Psalms 75:3 in English

Psalms 75:3 · Berean Standard Bible

When the earth and all its dwellers quake, it is I who bear up its pillars. Selah

Context

1Ee Mungu, tunakushukuru, tunakushukuru wewe, kwa kuwa jina lako li karibu; watu husimulia matendo yako ya ajabu. 2Unasema, “Ninachagua wakati maalum; ni mimi nihukumuye kwa haki. 3Wakati dunia na watu wake wote inapotetemeka, ni mimi ninayezishikilia nguzo zake imara. 4Kwa wale wenye majivuno ninasema, ‘Msijisifu tena,’ kwa wale waovu, ‘Msiinue pembe zenu. 5Msiinue pembe zenu dhidi ya mbingu; msiseme kwa shingo zilizonyooshwa.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.