Native Bible

Psalms 75:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa wale wenye majivuno ninasema, ‘Msijisifu tena,’ kwa wale waovu, ‘Msiinue pembe zenu.

Psalms 75:4 in English

Psalms 75:4 · Berean Standard Bible

I say to the proud, ‘Do not boast,’ and to the wicked, ‘Do not lift up your horn.

Context

2Unasema, “Ninachagua wakati maalum; ni mimi nihukumuye kwa haki. 3Wakati dunia na watu wake wote inapotetemeka, ni mimi ninayezishikilia nguzo zake imara. 4Kwa wale wenye majivuno ninasema, ‘Msijisifu tena,’ kwa wale waovu, ‘Msiinue pembe zenu. 5Msiinue pembe zenu dhidi ya mbingu; msiseme kwa shingo zilizonyooshwa.’ ” 6Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.