Zaburi 74:3
Psalms 74:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu, uharibifu wote huu ambao adui ameuleta pale patakatifu.
Psalms 74:3 in English
Psalms 74:3 · Berean Standard Bible
Turn Your steps to the everlasting ruins, to everything in the sanctuary the enemy has destroyed.
Context
1Ee Mungu, mbona umetukataa milele?
Mbona hasira yako inatoka moshi
juu ya kondoo wa malisho yako? 2Kumbuka watu uliowanunua zamani,
kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa:
Mlima Sayuni, ambamo uliishi. 3Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu,
uharibifu wote huu ambao adui ameuleta pale patakatifu. 4Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi,
wanaweka bendera zao kama alama. 5Walifanya kama watu wanaotumia mashoka
kukata kichaka cha miti.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.