Zaburi 74:5
Psalms 74:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walifanya kama watu wanaotumia mashoka kukata kichaka cha miti.
Psalms 74:5 in English
Psalms 74:5 · Berean Standard Bible
like men wielding axes in a thicket of trees
Context
3Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu,
uharibifu wote huu ambao adui ameuleta pale patakatifu. 4Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi,
wanaweka bendera zao kama alama. 5Walifanya kama watu wanaotumia mashoka
kukata kichaka cha miti. 6Walivunjavunja milango yote iliyonakshiwa
kwa mashoka na vishoka vyao. 7Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu,
wakayanajisi makao ya Jina lako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.