Native Bible

Psalms 74:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walivunjavunja milango yote iliyonakshiwa kwa mashoka na vishoka vyao.

Psalms 74:6 in English

Psalms 74:6 · Berean Standard Bible

and smashing all the carvings with hatchets and picks.

Context

4Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi, wanaweka bendera zao kama alama. 5Walifanya kama watu wanaotumia mashoka kukata kichaka cha miti. 6Walivunjavunja milango yote iliyonakshiwa kwa mashoka na vishoka vyao. 7Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu, wakayanajisi makao ya Jina lako. 8Walisema mioyoni mwao, “Tutawaponda kabisa!” Walichoma kila mahali ambapo Mungu aliabudiwa katika nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.