Zaburi 72:4
Psalms 72:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu na atawaokoa watoto wa wahitaji, ataponda mdhalimu.
Psalms 72:4 in English
Psalms 72:4 · Berean Standard Bible
May he vindicate the afflicted among the people; may he save the children of the needy and crush the oppressor.
Context
2Atawaamua watu wako kwa haki,
watu wako walioonewa kwa haki. 3Milima italeta mafanikio kwa watu,
vilima tunda la haki. 4Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu
na atawaokoa watoto wa wahitaji,
ataponda mdhalimu. 5Atadumu kama jua lidumuvyo, kama mwezi, vizazi vyote. 6Atakuwa kama mvua inyeshayo juu ya shamba lililofyekwa,
kama manyunyu yanyeshayo ardhi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.