Native Bible

Psalms 72:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atawaamua watu wako kwa haki, watu wako walioonewa kwa haki.

Psalms 72:2 in English

Psalms 72:2 · Berean Standard Bible

May he judge Your people with righteousness and Your afflicted with justice.

Context

1Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, mwana wa mfalme kwa haki yako. 2Atawaamua watu wako kwa haki, watu wako walioonewa kwa haki. 3Milima italeta mafanikio kwa watu, vilima tunda la haki. 4Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu na atawaokoa watoto wa wahitaji, ataponda mdhalimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.