Native Bible

Psalms 72:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, mwana wa mfalme kwa haki yako.

Psalms 72:1 in English

Psalms 72:1 · Berean Standard Bible

Endow the king with Your justice, O God, and the son of the king with Your righteousness.

Context

1Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, mwana wa mfalme kwa haki yako. 2Atawaamua watu wako kwa haki, watu wako walioonewa kwa haki. 3Milima italeta mafanikio kwa watu, vilima tunda la haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.