Native Bible

Psalms 72:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jina lake na lidumu milele, na lidumu kama jua. Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, nao watamwita aliyebarikiwa.

Psalms 72:17 in English

Psalms 72:17 · Berean Standard Bible

May his name endure forever; may his name continue* as long as the sun shines. In him may all nations be blessed; may they call him blessed.

Context

15Aishi maisha marefu! Na apewe dhahabu ya Sheba. Watu wamwombee daima na kumbariki mchana kutwa. 16Nafaka ijae tele katika nchi yote, juu ya vilele vya vilima na istawi. Tunda lake na listawi kama Lebanoni, listawi kama majani ya kondeni. 17Jina lake na lidumu milele, na lidumu kama jua. Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, nao watamwita aliyebarikiwa. 18Bwana Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa, yeye ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu. 19Jina lake tukufu lisifiwe milele, ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.