Native Bible

Psalms 72:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa, yeye ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu.

Psalms 72:18 in English

Psalms 72:18 · Berean Standard Bible

Blessed be the LORD God, the God of Israel, who alone does marvelous deeds.

Context

16Nafaka ijae tele katika nchi yote, juu ya vilele vya vilima na istawi. Tunda lake na listawi kama Lebanoni, listawi kama majani ya kondeni. 17Jina lake na lidumu milele, na lidumu kama jua. Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, nao watamwita aliyebarikiwa. 18Bwana Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa, yeye ambaye peke yake hutenda mambo ya ajabu. 19Jina lake tukufu lisifiwe milele, ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen. 20Huu ndio mwisho wa maombi ya Daudi mwana wa Yese.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.