Zaburi 71:3
Psalms 71:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uwe kwangu mwamba wa kimbilio, mahali nitakapokimbilia kila wakati; toa amri ya kuniokoa, kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu.
Psalms 71:3 in English
Psalms 71:3 · Berean Standard Bible
Be my rock of refuge, where I can always go. Give the command to save me, for You are my rock and my fortress.
Context
1Ee Bwana, nimekukimbilia wewe,
usiache nikaaibika kamwe. 2Kwa haki yako uniponye na kuniokoa,
unitegee sikio lako uniokoe. 3Uwe kwangu mwamba wa kimbilio,
mahali nitakapokimbilia kila wakati;
toa amri ya kuniokoa, kwa kuwa wewe
ni mwamba wangu na ngome yangu. 4Ee Mungu wangu uniokoe kutoka kwenye mkono wa mwovu,
kutoka kwenye makucha ya watu wabaya na wakatili. 5Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mwenyezi,
tegemeo langu tangu ujana wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.