Native Bible

Psalms 71:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa haki yako uniponye na kuniokoa, unitegee sikio lako uniokoe.

Psalms 71:2 in English

Psalms 71:2 · Berean Standard Bible

In Your justice, rescue and deliver me; incline Your ear and save me.

Context

1Ee Bwana, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe. 2Kwa haki yako uniponye na kuniokoa, unitegee sikio lako uniokoe. 3Uwe kwangu mwamba wa kimbilio, mahali nitakapokimbilia kila wakati; toa amri ya kuniokoa, kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu. 4Ee Mungu wangu uniokoe kutoka kwenye mkono wa mwovu, kutoka kwenye makucha ya watu wabaya na wakatili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.