Native Bible

Psalms 70:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu.

Psalms 70:2 in English

Psalms 70:2 · Berean Standard Bible

May those who seek my life be ashamed and confounded; may those who wish me harm be repelled and humiliated.

Context

1Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee Bwana, njoo hima unisaidie. 2Wale wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu. 3Wale waniambiao, “Aha! Aha!” warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao. 4Lakini wote wakutafutao washangilie na kukufurahia, wale wapendao wokovu wako siku zote waseme, “Mungu na atukuzwe!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.