Native Bible

Psalms 70:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee Bwana, njoo hima unisaidie.

Psalms 70:1 in English

Psalms 70:1 · Berean Standard Bible

Make haste, O God, to deliver me! Hurry, O LORD, to help me!

Context

1Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; Ee Bwana, njoo hima unisaidie. 2Wale wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, waaibishwe na kufadhaishwa; wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, warudishwe nyuma kwa aibu. 3Wale waniambiao, “Aha! Aha!” warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.