Native Bible

Psalms 69:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

watoto wa watumishi wake watairithi na wale wote walipendao jina lake wataishi humo.

Psalms 69:36 in English

Psalms 69:36 · Berean Standard Bible

The descendants of His servants will inherit it, and those who love His name will settle in it.

Context

34Mbingu na dunia zimsifu, bahari na vyote viendavyo ndani yake, 35kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na kuijenga tena miji ya Yuda. Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki, 36watoto wa watumishi wake watairithi na wale wote walipendao jina lake wataishi humo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.