Zaburi 69:35
Psalms 69:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na kuijenga tena miji ya Yuda. Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki,
Psalms 69:35 in English
Psalms 69:35 · Berean Standard Bible
For God will save Zion and rebuild the cities of Judah, that they may dwell there and possess it.
Context
33Bwana huwasikia wahitaji
wala hadharau watu wake waliotekwa. 34Mbingu na dunia zimsifu,
bahari na vyote viendavyo ndani yake, 35kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni
na kuijenga tena miji ya Yuda.
Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki, 36watoto wa watumishi wake watairithi
na wale wote walipendao jina lake
wataishi humo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.